Z Ziyech04 Member Joined Jun 24, 2021 Posts 10 Reaction score 7 Jun 26, 2021 #1 Jaman mwenye uelewa kuhusu piki piki boxer engine kuwa na vishindo na kugonga gonga tatizo litakuw nini?
Jaman mwenye uelewa kuhusu piki piki boxer engine kuwa na vishindo na kugonga gonga tatizo litakuw nini?
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Jun 26, 2021 #2 Hebu angalia mkono hapo nahisi ndo kuna shida hapo
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,462 Reaction score 2,690 Jun 26, 2021 #3 Shida. yangu pia tapeti zinapiga kelele Sana, hata wakiadjust Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Shida. yangu pia tapeti zinapiga kelele Sana, hata wakiadjust Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Z Ziyech04 Member Joined Jun 24, 2021 Posts 10 Reaction score 7 Jun 26, 2021 Thread starter #4 njumu za kosovo said: Hebu angalia mkono hapo nahisi ndo kuna shida hapo Click to expand... Nlibadlisha mkono lakini wapi
njumu za kosovo said: Hebu angalia mkono hapo nahisi ndo kuna shida hapo Click to expand... Nlibadlisha mkono lakini wapi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 27, 2021 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
JAKUGOTE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 788 Reaction score 1,084 Jun 28, 2021 #6 havanna said: Shida. yangu pia tapeti zinapiga kelele Sana, hata wakiadjust Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile ap Click to expand... Mtafute fundi mzuri anayezijua boxer aziadjust, ilishawahi nitokea mara kwa mara fundi anaadjust sahv haichukui hata siku 3 zinagonga tena. Kuna fundi nilimpata aliniadjustia mara mbili tu nikasahau kabisa
havanna said: Shida. yangu pia tapeti zinapiga kelele Sana, hata wakiadjust Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile ap Click to expand... Mtafute fundi mzuri anayezijua boxer aziadjust, ilishawahi nitokea mara kwa mara fundi anaadjust sahv haichukui hata siku 3 zinagonga tena. Kuna fundi nilimpata aliniadjustia mara mbili tu nikasahau kabisa