naomba kuuliza wakuu hii piki piki ni inzuri sio kimuonekano apana perfomance yake kwenye barabara korofi na lami? pia vifaa vyake na mafundi wakawaida wana zitengeneza?
chukua 150 yake. kama pesa unazo... ila hata hiyo sio mbaya. ujue mkuu kitu chochote ni matunzo tu...hata wewe binaadam mwili wako ukikosa matunzo lazima ukongoloke...
baadhi ya vifaa vya pikipiki vinaingiliana...ila kama upo dsm unaweza kuwa unaipeleka hiyo piki piki kwenye karakana yao kufanyiwa service ya uhakika zaidi.
pikipiki ni pikipiki tu kikubwa kuzingatia service haswa kubadili oil kwa wakati pamoja na kubadili vifaa utavyoona vimepunguza ufanisi wa ufanyaji kazi...!