Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchina..
Boxer ni nzuri sana, ila spear zake ziko juu kuliko sanlg
Mkuu si unajua mchina ndio hana gharama tena kwa biashara ya bodaboda huhitaji pikipiki ya gharama maana watakuharibia tu baada ya muda mfupi...kiboko yao mchina hata ukinunua leo kesho ikala mzinga hasara sio kiiiiiiiivooumetisha mkuu
BOXER ndo inafaa ila wakati unanunua ujiwekee akiba ya miguu bandia kama si hela ya sanda & jeneza, maana chochote chaweza kutokea
