Pikipiki aina ya boxer inauzwa

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Habari,Nauza pikipiki yangu aina ya boxer 150 namba c na ipo katika hali nzuri ,yaani sitata inapiga nakuondoka
Bei ni mil.1 na laki 2

Nipo mkoani mbeya wilaya ya mbarali ,rujewa

 
Namba c 1.2m kweli huko mkoani, kama hiyo Dar unapata kwa laki 7
 
Wa mkoani utawajua! Hiyo namba C ni 700,000 Dar! Na unapata hela chap chap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…