Tetesi: Pikipiki alizotoa waziri mkuu Arusha ulikuwa ni mradi wa mtu kuwakopesha vijana

Kwenye hotuba yao walisema wanawasaidia vijana na kuwaepusha na unyonyaji unaofanywa na wamiliki wa pikipiki ambao huwapa baada ya kuwanyonya sasa mimi nilifikiri waliwapa bure ila warudishe kiwango cha kununulia pikipiki
Riba ya 46% ni zaidi ya mabenki yanayotoza kati 15% na 23%, huu ni utapeli na wizi kwa wanyonge.
Na hapa ndipo penye hoja ya msingi. Ukifuatilia namna jambo lile lilivyoletwa, na kisha ukautafakari kwa kina uzi tunaoujadili sasa, ni rahisi kuona kwamba kulikuwa na lengo la kuhadaa vijana na umma kwa ujumla, ili ionekane kwamba serikali (CCM?) ina wasaidia vijana. Muda utatoa majibu kama vijana wamesaidiwa kweli au serikali imewaandalia janga!
 
Tujiandae kusikia vilio vya wakopaji, walioweka bond nyumba na mkopeshaji.

Wasifikiri kupata elfu 8 kila siku ni jambo rahisi, kuna masika, pikipiki mbovu wiki, ajali, kuibiwa/kuporwa, kuugua/kulazwa na matatizo mengine ya kijamii.
 
J
Utapeli uko wapi? Unadhani kama kila mmoja angeamua kujichanga ili aje kununua pikipiki yake angefanikiwa? mtaji angeutoa wapi? Kama muuzaji/mkopeshaji angeuza kwa cash unadhani angezungusha mara ngapi? kwa nini na yeye asipate faida?
Kwanin waseme wamekopesha bila riba?
 
CCM ni majambazi tu.

Acha waneng'eneke ila SERIKALI lazma ijue kwa Arusha, KULA ccm KURA kwa CHADEMA
 
Ccm ni mafisadi waliobobea
 
CCM ni majambazi tu.

Acha waneng'eneke ila SERIKALI lazma ijue kwa Arusha, KULA ccm KURA kwa CHADEMA
Sawaaaaaa[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
sio utapeli ni biashara na ajira kwa vijana.

mimi nina pkpk 3 nimewapa vijana mkataba wa mwaka kwa siku 10,000.

mwakani naongeza zitakua 6.
 
Hebu acheni kulalamika.
Ulitaka wapewe bure hizo pikipiki kuna wengine watashindwa kulipa,nyingine zitaibiwa,zitachakaa ulitaka wapewe bila riba?
 
Hivi kile kichwa cha Gambo unadhani anaweza hata kubuni kitu cha maana mtu aliyepachikwa na kuambiwa afanye dhaambi ya kuudhi wananchi naye akakubali unadhani anaweza kuwa na nyongeza yeyote ya maana kwa wananchi
 
Huo sio mkopo ni utapeli wa mwendokasi pikipiki hizo zinauzwa 1.9m halafu anakuja kulipa 2.9m wakti hizo pikipiki wametoa wafanyabiashara hiyo hela anarudishiwa nani wakti sio pesa ya serikali.hilo dili kma la tetemeko bukoba
 
Wataanzia wap
 
Geita kwa mkuu wa nchi walizileta wakati wa kampeni mwezi wa 8 mwaka Jana .pikipiki aina ya GSM,kweli walilowa wasukuma sana,kwa masharti waliyowekewa wote wamefilisika ni taabani,kweli ccm ni matapeli nimeamini,hawa vijana walikuwa chadema kindakinda kabisa,walikuwa wanawanakili na shaada za uchaguzi na wakiwatishia kuwa mkipiga kura chadema tutajua kwakuwa tuna namba za shahada zenu,kwa kweli walileta kilio kwa upinzani kwa mradi wao huu,sijui Arusha wao wana msimamo gani !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…