Degelingi_One
Member
- Nov 17, 2018
- 72
- 121
Wasalaam wakuu humu ndani,
Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki.
Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa.
Lakini wataalamu na wazoefu wanavijua vema kipi kinamzidi mwenzake.
Naomba ushauri wenu ipi ni nzuri hasa kwenye maintanance, confortability, fuel consumption na off-road use. ushauri wenu tafadhali.