Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 497
- 785
Ikimaliza wiki itakua halali yangu kwa maana nitakua na fedhaPurse bajaji cc 200 valve 4 na plug 2
Ipo dar
Info contact 0783166050
Price 1m
Imetumika miezi michache /View attachment 1414941
IkiView attachment 1414942
Sent using
IkiJamii Forums mobile app
Uko wapWadau mwenye tutorial ya jinsi ya kuendesha boda boda anisaidie maana nataka nijifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
NitafuteWadau mwenye tutorial ya jinsi ya kuendesha boda boda anisaidie maana nataka nijifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi uliopita nilikua sijui kuendesha pikipiki, ila leo napita highway kwa tahadhari, cha kwanza nilimkodi boda boda nikampa elfu 10 tukaenda uwanjani akaanza kunipa initial training ambayo kikubwa ni balance, control, kujua,brakes clutch na throttle zinakuwa controlled vipi, baada ya hapo nikanunua pikipiki akawa anakuja jamaa yangu tunfanya practise kwenye eneo la wazi kwa muda wa masaa mawili kila siku kwa siku sita, baada ya hapo, nilianza kutoka lami siku ya saba, na kila siku jioni nilikua naangalia motorcycle riding tips, kama una bundle la kubania zipitie WikiHow maana hizo ni za maandishi na picha haziconsume MB Nyingi, otherwise angalia youtube kuna mamilioni ya Video yanakusubiri!! ila ningekushauri uanze kujifunza na mtu anaejua kwenye eneo lililowazi hasa viwanja.Wadau mwenye tutorial ya jinsi ya kuendesha boda boda anisaidie maana nataka nijifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu, ila nimeshajua nilipata mwalimu kanifundisha vizuri sanaMwezi uliopita nilikua sijui kuendesha pikipiki, ila leo napita highway kwa tahadhari, cha kwanza nilimkodi boda boda nikampa elfu 10 tukaenda uwanjani akaanza kunipa initial training ambayo kikubwa ni balance, control, kujua,brakes clutch na throttle zinakuwa controlled vipi, baada ya hapo nikanunua pikipiki akawa anakuja jamaa yangu tunfanya practise kwenye eneo la wazi kwa muda wa masaa mawili kila siku kwa siku sita, baada ya hapo, nilianza kutoka lami siku ya saba, na kila siku jioni nilikua naangalia motorcycle riding tips, kama una bundle la kubania zipitie WikiHow maana hizo ni za maandishi na picha haziconsume MB Nyingi, otherwise angalia youtube kuna mamilioni ya Video yanakusubiri!! ila ningekushauri uanze kujifunza na mtu anaejua kwenye eneo lililowazi hasa viwanja.