Dah hao ndio vijana wetu TZ, wanatoa side mirror alaf akitaka kuvuka anageuza shingo kuangalia nyuma kama kuna gari,,, anaendesha bodaboda anakaa tako moja amevaa kijinsi kimekatwa ovy ovy ( kinjunga) kavaa ndala alaf na virasta vichafu cjui wanaita dred ( kama sijakosea ) alaf yupo speed atari,,, ukiuliza takwamu za ajali za bodaboda zilizoua mkoani ruvuma 2021 zinasikitisha kwa kweli