Pikipiki boxer 150 haiwaki ikinyeshewa mvua

Pikipiki boxer 150 haiwaki ikinyeshewa mvua

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini kifanyike
 
Mmmh hiyo inanyota ya binaadamu kabisa mbona ila sio issue ya umeme hiyo mkuu isije kuwa mvua ikipiga maji yanaingiamo kwenye connection za kupeleka moto ili chombo iwake
 
Ndo hivyo hata vitu vizuri vingi vinachakaa haraka
 
Wakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini kifanyike
Ni kawaida kwa boxer, hiyo ya kushindwa kuwaka kutokana na kunyeshewa huwa kuna nyaya fulani zinazopeleka moto hazipatani na maji kabisa, maji yakigusa tu pikipiki haiwezi kuwaka. Mafundi huwa wanazipiga tape tu zile sehemu zinazoweza kupitisha maji na tatizo linaisha.
 
Badilisha twitch ya funguo ya pikipiki yako ugongwa ndio upo hapo, kama unataka amini chukua maji mwagia kwenye switch ya funguo Kisha washa utaona
 
Wakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini kifanyike
Tatizo lako unapaswa kubadili coil tu ,tatizo utakuwa umesolve
 
Imewahi nitokea hii ktu hiz boda kuna waya flan mkubwa huwa upo naked lazma upige tape manually..pale yakigusa maji unaweza uwa hata valve...na waya wa kwenda kwenye plug lazma nao uwe binded na tape
 
Back
Top Bottom