devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Kweli aisee mana inasumbua mnoTupa ishakua skelepa
Daaah hata sielewi sasa maji au unyevu unapita kupitia wapMmmh hiyo inanyota ya binaadamu kabisa mbona ila sio issue ya umeme hiyo mkuu isije kuwa mvua ikipiga maji yanaingiamo kwenye connection za kupeleka moto ili chombo iwake
Daaah hata sielewi sasa maji au unyevu unapita kupitia wap mana nyaya zipo chini ya tank
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Nenda kwa fundi akufanyie lamination kwenye nyaya zoteWakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini kifanyike
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kama shida ni Betr mbona ata kiki inasumbua kuwasha ... ???Badilisha Betry
Ni kawaida kwa boxer, hiyo ya kushindwa kuwaka kutokana na kunyeshewa huwa kuna nyaya fulani zinazopeleka moto hazipatani na maji kabisa, maji yakigusa tu pikipiki haiwezi kuwaka. Mafundi huwa wanazipiga tape tu zile sehemu zinazoweza kupitisha maji na tatizo linaisha.Wakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini kifanyike
fundi gani mzuri kwa hiii kazi mkuu?Nenda kwa fundi akufanyie lamination kwenye nyaya zote
Tatizo lako unapaswa kubadili coil tu ,tatizo utakuwa umesolveWakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini kifanyike