D devinyo1987 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 268 Reaction score 370 Jan 5, 2022 #1 Halo muhali gani humu. Nina pikipiki bm 150 silence ipo juu sana na ukijaribu kupunguza silence inazima. Mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Msaada jamani mwenye kuelewa hizi mambo.
Halo muhali gani humu. Nina pikipiki bm 150 silence ipo juu sana na ukijaribu kupunguza silence inazima. Mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Msaada jamani mwenye kuelewa hizi mambo.