INAUZWA Pikipiki Boxer bei ni 1,000,000/=

INAUZWA Pikipiki Boxer bei ni 1,000,000/=

View attachment 694594 View attachment 694595 View attachment 694597
Hii ilinunuliwa mwaka 2015 mwezi wa tisa , ilikuwa ikitumika katika shughuli za bodaboda gongo la mboto.
2016 mwezi wa 8 niliiweka ndani tuu maana dereva alikuwa si muaminifu ktk hesabu na utumiaji.
2017 mwezi wa 5 nikaanza kuitumia mwenyewe.

Karibu,mawasiliano 0746426085
Hapo hakuna pikipiki.!
Boxer ikishaanza kuwa na mlio kama cherehani Ujue ndo kwishney.
Kama unakubali laki nne tufanye biashara
 
Sasa 1,000,000/= ukiongeza 1,200,000/= tu unapata mpya kabisaa
 
Back
Top Bottom