X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Ina mana mwez mzima imefanya kazi imelipwa elfu kumi tu?. Mbona umeipunja mshahara yani mwaka mzima umeilipa laki 3 tu?kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi.
View attachment 2960200
nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi kuifungua engine kabisa.
bei ni 2.4 milioni not open for negotiation 🙏🙏🙏🙏
ipo DAR ES SALAAM... Mkoa wowote inakufikia...!
mawasiliano 0759170794
sijaelewa BossIna mana mwez mzima imefanya kazi imelipwa elfu kumi tu?. Mbona umeipunja mshahara yani mwaka mzima umeilipa laki 3 tu?
2.4?
Sijui huwa mnadhani hapa mjini wote ni wakuja
umeenda dukani hivi karibuni...? au unazungumzia bei za miaka 3 iliyopita... yani hivi sasa boxer 125 bila m3 huwezi kupataMkuu prince mhando huwa unauza vitu kwa bei ya juu niliona kuna nyumba unauza maeneo ya kitunda aiseee ile nyumba bei yake ni kisu.
Sasa naelewa kwann vtu havitoki, yaani kwwli boxer mpya ni 2.6 mpka 2.5 wewe unauza 2.4M upo serious kwwl?
sawa boss hili ni soko hulu... una ruhusiwa kununua popoteKama hutaki kuuza usilete matangazo yako hapa, 2.4 kwa pikipiki gani wakati ziko namba E mpaka 1.7 unapata.
Mpya bei yake ngapi aweke mezani tulinganishe, sio kama tunaharibu biashara ila kuuza 2.4 ni uongo2.4?
Sijui huwa mnadhani hapa mjini wote ni wakuja
twende nikupeleke kwa wahindi 2.7 mpya wewe unauza 2.4 na ushaitumia.umeenda dukani hivi karibuni...? au unazungumzia bei za miaka 3 iliyopita... yani hivi sasa boxer 125 bila m3 huwezi kupata
Kwamba na wewe unakabia juu kwa bei mpya sioumeenda dukani hivi karibuni...? au unazungumzia bei za miaka 3 iliyopita... yani hivi sasa boxer 125 bila m3 huwezi kupata
twende nikupeleke kwa wahindi 2.7 mpya wewe unauza 2.4 na ushaitumia.
Sema sawa ni chako tu. Ile nyumba ya kitunda vipi ilishapata mtu?
mkuu... una bei gani kwani...?Kwamba na wewe unakabia juu kwa bei mpya sio
ndio mkuu haikuwa nyumba ni kiwanja... nilipata mteja humu humu... kwa bei ile ile sikupunguza hata mia...!
umesahahu kama tuliongea na nikafika bado kiwanja kipo lile eneo. Au umesahau ndugu yangu ukanipa na mawasiliano?ndio mkuu haikuwa nyumba ni kiwanja... nilipata mteja humu humu... kwa bei ile ile sikupunguza hata mia...!
nachangamsha uzi mkuumkuu... una bei gani kwani...?