INAUZWA Pikipiki boxer bm (mdomo wa mamba)/ new model inauzwa 1.9

INAUZWA Pikipiki boxer bm (mdomo wa mamba)/ new model inauzwa 1.9

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
ina miezi minne tangu inunuliwe! ina private plate number
imetembea km 1755 tu
bima yake inaisha june 2019
ina card risiti ya kununulia na risiti ya bima

ni ya kuwqsha na kuondoka
ipo Mbezi beach Dar

bei 1.9 top

0692809620
IMG_20180819_111345.jpeg
View attachment 915778View attachment 915777
 
Mdomo wa mamba si itakuwa hatari sana kiongozi, isije kutung'ata mzee ha ha ha ha kidding,,, aisee chombo imenyooka sana mkuu ni vile tu pesa haiko karibu nami ningeichukua!
 
Back
Top Bottom