Bei gani iyo mashineina miezi minne tangu inunuliwe! ina private plate number
imetembea km 1755 tu
bima yake inaisha june 2019
ina card risiti ya kununulia na risiti ya bima
ni ya kuwqsha na kuondoka
ipo Mbezi beach Dar
0692809620View attachment 915779View attachment 915778View attachment 915777
Ikiwa dukani ina bei gani hii pikipiki?