Beberu la mbegu
Member
- Mar 9, 2014
- 22
- 1
Sikuhizi zimepigwa marufuku... Ukikamatwa unaendesha au umeipaki Faini ni laki nne na hamsini au jela miezi kadhaa na pikipiki inataifishwa ...hazina deal Tena... wawekee bei poa watu wa scraper wakatekate chuma chakavu... Nadhani kilo moja ya chuma ni 450/=
Zimepigwa marufuku nyumbani kwako
Pikipiki Boxer bm 100 mpya kabisa inauzwa 1,500,000/= namba za usajili T 877 CRK
ipo arusha kwa anae hitaji awasiliane na mmiliki kupitia 0764876774
Nina 1mil. nipo Mwanza 0714620133