E emanoti415 Member Joined Jul 20, 2018 Posts 36 Reaction score 16 Jun 22, 2022 #1 Wanajamii forum naomba kuuliza maximum speed ya boxer x125. Na je ni sahihi kuwa na speed ya mwisho 75km/h au kuna vitu natakiwa nirekebishe , pikipiki ni zile za zaman za gia 4.
Wanajamii forum naomba kuuliza maximum speed ya boxer x125. Na je ni sahihi kuwa na speed ya mwisho 75km/h au kuna vitu natakiwa nirekebishe , pikipiki ni zile za zaman za gia 4.