Pikipiki faini ya kuingia mjini sh. ngapi?

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
3,509
Reaction score
3,741
Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. ngapi? kwa Ilala? na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie.
 
Naomba msaada jamani faini ya pikipiki kuingia mjini ni sh. Ngapi?kwa ilala?na inalipiwa wapi? Maana yangu imekamatwa naambiwa laki moja nilipie.
elf15 tu unapata na risti ya malipo ya manispaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…