K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Feb 5, 2017 #1 Jamana nataka kununua pikipiki bora na himilivu kwa mzaingira ya vijijini ili inasidie kubebe mizigo kama gunia la mahindi ,udaga nk. Haichakai haraka lakini inatumia mafutaa kidogo.Asante
Jamana nataka kununua pikipiki bora na himilivu kwa mzaingira ya vijijini ili inasidie kubebe mizigo kama gunia la mahindi ,udaga nk. Haichakai haraka lakini inatumia mafutaa kidogo.Asante
emt45 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 564 Reaction score 644 Feb 5, 2017 #2 Nunuwa toyo la mataili matatu Au Kinglion 150 yenye chain ktk injin Kama bushi milima mingi Toyo 150 ndo mpango mzma
Nunuwa toyo la mataili matatu Au Kinglion 150 yenye chain ktk injin Kama bushi milima mingi Toyo 150 ndo mpango mzma
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Feb 5, 2017 Thread starter #3 emt45 said: Nunuwa toyo la mataili matatu Au Kinglion 150 yenye chain ktk injin Kama bushi milima mingi Toyo 150 ndo mpango mzma Click to expand... Kunaweningine wanasema SANLG..je ni kweli?
emt45 said: Nunuwa toyo la mataili matatu Au Kinglion 150 yenye chain ktk injin Kama bushi milima mingi Toyo 150 ndo mpango mzma Click to expand... Kunaweningine wanasema SANLG..je ni kweli?
emt45 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 564 Reaction score 644 Feb 5, 2017 #4 Kimla said: Kunaweningine wanasema SANLG..je ni kweli? Click to expand... Nayo ni nzuri ila kama kuna milima chukuwa toyo 150 , tambarale kinglion na hiyo sanlg
Kimla said: Kunaweningine wanasema SANLG..je ni kweli? Click to expand... Nayo ni nzuri ila kama kuna milima chukuwa toyo 150 , tambarale kinglion na hiyo sanlg
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Feb 6, 2017 Thread starter #5 emt45 said: Nayo ni nzuri ila kama kuna milima chukuwa toyo 150 , tambarale kinglion na hiyo sanlg Click to expand... Asante kwa ushauri
emt45 said: Nayo ni nzuri ila kama kuna milima chukuwa toyo 150 , tambarale kinglion na hiyo sanlg Click to expand... Asante kwa ushauri
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Feb 6, 2017 #6 Mie nna mwaka wa sita na sanlg tangu 2010 april hadi leo wala haina shida.