Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada tafadhali
Asante ndugu,,Hatua niliyochukua baada ya kutokea ajali nilipiga polisi wakaja eneo la tukio na kupima ajali kisha kwenda kituoni na kuchukua maelezo na kuandaa file kisha kupeleka mahakamani.Sasa jambo la kushangaza naambiwa kuwa hii kesi ni ya jamuhuri kwahiyo wewe gari yako utalipwa na bima,au kutengeneze kwa gharama zako mwenyewe,mimi hii imekaaje na sijui nifanyeje ili niweze kupata haki yanguKwanza pole sana mdau, ila kwa namna maelezo yako yalivyo ni kama yameacha gap ya namna mtu anaweza kukusaidia. Mfn, hujasema hata ni chombo (authority) gani ama ni nani aliyekuambia kua ukatengeneze gari lako mwenyewe. Wala hujaeleza hata hatua ulizozichukua baada ya ajali kutokea (i.e kwenda polisi, mahakamani n.k) ili mtu ajue anakushauri kwa angle gani.
Nadhani ukitoa maelezo hayo👆 itakua raisi kusaidiwa.
Wipyatila na kuvika mbeta,.....boda boda (motorcycle)imegonga gari yako kwa nyuma na kusababisha uhalibifu mkubwa kwenye gari yako (gari yako hii imetengenezwa Iran?)ngoja nitembelee vitindi vyangu vya ulanzi huku lingusenguse
Karibu mkuu lingusenguseWipyatila na kuvika mbeta,
Mtogwa na mkangafu winywa hilawo!
😂😂😂
Nitakaribia mkuu usijali!Karibu mkuu lingusenguse
Bila shaka itakuwa bima ya gari lako, japo sina uhakika kwa asilimia zote.Bima yangu au yake ndio inilipe mkuu
Of course iyo case niya Jamhuri ivyo kama una taka ulipwe fatiria iyo case ikiisha kama kakutwa na hatia , omba copy ya iyo hukumu uka fungue case ya madai .iyo hukumu utumie kama moja ya evidence uko uendakoAsante ndugu,,Hatua niliyochukua baada ya kutokea ajali nilipiga polisi wakaja eneo la tukio na kupima ajali kisha kwenda kituoni na kuchukua maelezo na kuandaa file kisha kupeleka mahakamani.Sasa jambo la kushangaza naambiwa kuwa hii kesi ni ya jamuhuri kwahiyo wewe gari yako utalipwa na bima,au kutengeneze kwa gharama zako mwenyewe,mimi hii imekaaje na sijui nifanyeje ili niweze kupata haki yangu