Pikipiki inachelewa kuwaka asubuhi

Wakuu misaada wa mawazo...nina boxer 150 .. asubuhi inachelewa kuwaka na pia nikipaka masaa kuanzia mawili haiwaki haraka shida ni nini wakuu??
....nikipaka masaa kuanzia mawili....
Sijakuelewa vizuri jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…