Pikipiki inahitajika, bei isizidi milioni moja

Pikipiki inahitajika, bei isizidi milioni moja

selukeng'e

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
10
Reaction score
24
Habari wakuu, ninahitaji kununua pikipiki aina ya kinglion ambayo no nzima sana bei isizidi milioni kwa mwenye nayo aweke picha hapa na mawasiano
 
Mkuu watakutegeshea chums chakavu. Alternative nenda kituo cha polisi zipo zinazokamatwa na kukimbiwa kuna wakati hewa wanaopiga mnada hata za laki mbili zipo.
Fuatilia
 
Back
Top Bottom