Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pikipiki inahitajika
Specifications:
150-200cc
Bei isizidi 2,000,000/=
Kaka naomba uzoefu kidogo kwa mchina maana bei zao zinavutia sana na zinashawishi kuzinunua.kaka kwa hiyo pesa yako unaweza ukapata YAMAHA nzuri... at least ongezea kidogo kama laki mbilie tatu... za kichina ni HEADACHE... nakushauri nendwa kwa viwanda vinavyoaminika... HONDA, YAMAHA na na vingine vya japan... nimennua YAMAHA CRUX 110 kwa 2,200.000 (milioni mbili na laki mbili)... a month ago
sina uzoefu mkubwa binafsi kwa mchina... ila nimeona kwa wenye nazo watu wangu wa karibu... lifespam yake ikizidi two yrs shukuru mungu.. kwanza kinachozifanya ziwe hatari.. ni kuwa wachina wanaziingiza zikiwa separate.. then wanawachukua vijana na kuwaonyesha jinsi ya kuziassamble... ss hapo ndio shida... mtu hana utaalamu anachiwa aasamble na kufanyia wire-ring... unakuta makosa kibao yanayoweza kusababisha kuungua moto hiyo pikipiki. na pia hata vifaa vyake sio imara.. ni rahisi kukuta clutch imekatika au handle bars... kwa kifupi.. ni pikipiki ambazo hazihitaji rabsha ili zidumu.. na zisiwe na watumiaji wengi.. otherwise utajikuta six month huna pikipiki. na ndio maana bei ndogo.. used unaipata kwa hadi laki sitaKaka naomba uzoefu kidogo kwa mchina maana bei zao zinavutia sana na zinashawishi kuzinunua.
sina uzoefu mkubwa binafsi kwa mchina... ila nimeona kwa wenye nazo watu wangu wa karibu... lifespam yake ikizidi two yrs shukuru mungu.. kwanza kinachozifanya ziwe hatari.. ni kuwa wachina wanaziingiza zikiwa separate.. then wanawachukua vijana na kuwaonyesha jinsi ya kuziassamble... ss hapo ndio shida... mtu hana utaalamu anachiwa aasamble na kufanyia wire-ring... unakuta makosa kibao yanayoweza kusababisha kuungua moto hiyo pikipiki. na pia hata vifaa vyake sio imara.. ni rahisi kukuta clutch imekatika au handle bars... kwa kifupi.. ni pikipiki ambazo hazihitaji rabsha ili zidumu.. na zisiwe na watumiaji wengi.. otherwise utajikuta six month huna pikipiki. na ndio maana bei ndogo.. used unaipata kwa hadi laki sita
Unataka lini?mm ninazo nyingi ziko znz kwa sasa ntaenda kuchukua wknd hii lkn si mchina ni usa mtumba,ninazo zaidi ya 50
Pikipiki inahitajika
Specifications:
150-200cc
Bei isizidi 2,000,000/=
Mimi ninayo xl 125cc from japan, kama unaihitaji ni pm. Au kama utahitaji yamaha mate 50cc na honda super cab ninazo nyingi tu huko zbar na naweza kukuletea kama upo dar.