Pikipiki inauzwa Laki 9 na Nusu , Used (Haina zaidi ya mwaka) Haina tatizo lolote

Pikipiki inauzwa Laki 9 na Nusu , Used (Haina zaidi ya mwaka) Haina tatizo lolote

spirit255

Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
38
Reaction score
10
Habari,

Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919, Sanmahani sijajua jinsi ya ku upload picha hapa jamii forum lakini unaweza kunicheck WhatsApp +44 7452 925919 ili nikutumie picha ya pikipiki

Njoo WhatsApp nikutumie picha, Pikipiki ipo Dar Es Salaam, Tegeta Nyuki
Phone: +44 7452 925919 pikipiki ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote. Nina nyaraka zote za umiliki wa pikipiki, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana.

Ahsante
 
Na wewe Upo nchi gani hizo code area mbona syo za Tanzania
 
Habari
Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919, Sanmahani sijajua jinsi ya ku upload picha hapa jamii forum lakini unaweza kunicheck WhatsApp +44 7452 925919 ili nikutumie picha ya pikipiki

Njoo WhatsApp nikutumie picha, Pikipiki ipo Dar Es Salaam, Tegeta Nyuki
Phone: +44 7452 925919 pikipiki ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote. Nina nyaraka zote za umiliki wa pikipiki, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana
Ahsante

Sasa hata kutoa description ya pikipiki yako kwa maana ya aina, mileage, iko ama wewe unapatikana wapi nk unashindwa mkuu?

Inaonekana hauko serious na biashara yako wewe....

Fanya hivyo ili upate wateja fast. Achana na mambo ya WhatsApp kwa sbb kuna watu wengi hawawezi kutoa namba zao za simu waziwazi kwa mtu asiyejulikana...

Umeamua kutumia JF, basi maliza kila kitu hapahapa...!!
 
Kama umeweza ku-upload Namba picha unashindwaje?

Hizo namba pia sijazielewa
 
Back
Top Bottom