Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Hebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia!
Hivi mjini kati magari yamejaa, mtu unapanda pikipiki haina Vioo vya pembeni maarufu kama said Mira (Side Mirrow) unategemea nini?
Vile vioo kazi yake nikuonesha gari Linalokuja nyuma hivyo bila hivyo vioo, Pikipiki huweza kuingia barabarani au kuhama kwenda upande wa pili wa barabara au Kuovateki bila kujua kuna gari nyuma na hivyo kugongwa na kusababisha ulemavu au Kifo!
Kama unapenda maisha yako, USIPANDE PIKIPIKI ISIYOKUWA NA VIOO VYA PEMBENI