Sight mirror❌️Toyo za chuga hazinaga sight mirror
Hakuna tofauti hapo vyote ni vioo hivyo bwasheeSight mirror❌️
Side mirror✔️
Hebu elezea kwa kiswahiliHakuna tofauti hapo vyote ni vioo hivyo bwashee
Mimi bila kugeuza shingo sioni amani kabisa .sivitumiagi nikiwa kwa pkpkHebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia!
Hivi mjini kati magari yamejaa, mtu unapanda pikipiki haina Vioo vya pembeni maarufu kama said Mira unategemea nini?
Vile vioo kazi yake nikuonesha gari Linalokuja nyuma hivyo bila hivyo vioo, Pikipiki huweza kuingia barabarani au kuhama kwenda upande wa pili wa barabara au Kuovateki bila kujua kuna gari nyuma na hivyo kugongwa na kusababisha ulemavu au Kifo!
Kama unapenda maisha yako, USIPANDE PIKIPIKI ISIYOKUWA NA VIOO VYA PEMBENI
Nimekuelewa, siku nyingine andika side badala ya saidHebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia!