MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,297
Huyu jamaa nimemsikia BBC ana pikipiki ya kuchaji. Zinapatikana madukani au ni ya kujiundia?
=====
Anthony Kapinga
Pikipiki ya Bw. Kapinga
Ifahamu pikipiki inayotumia umeme ambayo wengi wameiona kama rafiki mkubwa wa Mazingira kutokana na ukweli kwamba pikipiki hii haina mlio na haitoi moshi kabisa.
Dereva Boda boda mmoja nchini Tanzania kwa jina la Anthony Kapinga amekuwa kivutio kwa wengi hasa baada ya kuanza kutumia Boda boda isiyotumia mafuta kwa muda wa mwezi mmoja sasa.
Kijana huyu anatupa sifa halisi za pikipiki hiyo huku akiisifu kuwa imemuingizia kipato kikubwa kwa muda huu mchache alioitumia.
Chanzo: BBC Swahili