Naikubali sana hiyo mashine. nimekaa nayo kama miezi 12 haikuwahi kuwa na tatizo lolote na ilikuwa inapiga mzigo wa maana, kwa maana ya kazi nyingi, mizigo na umbali mrefu kwenye rough road kabla ya kuamua kuiuza wakati nimemaliza mishe zangu, tatizo kubwa naloliona kwako ni oil, hukuwa makini kwenye kubadilisha oil, hicho ndo chanzo cha tatizo lako. kwenye sehemu ya kubadilishia oil wameonesha unatakiwa kubadilisha kila baada ya umbali flani, ulifanya hivyo?habarini wanajamvi!Ni miezi mitano toka nmenunua pikipiki aina ya kinglion hivi karibuni imekuwa na tatizo la kukatika kwa ring na baadae kugonga engine nimesha badilisha block mara mbili naomba mwenyewe ujuzi anisaidie hili tatizo linasababishwa na nini na nifanyeje?
Nimekuwa nikibadilisha oil chini ya kilometa 1000 nimeweka block na cylinder mpya lakini wapi plz nini kingine cha kuangalia ili kuikoa pikipiki yanguNaikubali sana hiyo mashine. nimekaa nayo kama miezi 12 haikuwahi kuwa na tatizo lolote na ilikuwa inapiga mzigo wa maana, kwa maana ya kazi nyingi, mizigo na umbali mrefu kwenye rough road kabla ya kuamua kuiuza wakati nimemaliza mishe zangu, tatizo kubwa naloliona kwako ni oil, hukuwa makini kwenye kubadilisha oil, hicho ndo chanzo cha tatizo lako. kwenye sehemu ya kubadilishia oil wameonesha unatakiwa kubadilisha kila baada ya umbali flani, ulifanya hivyo?
Inatengenezwa nchi gani hiyo mkuu
Kama hana uwezo wa kununua engine?Nunua engine mpya
Itakuwa imemshindaKama hana uwezo wa kununua engine?