Pikipiki kubwa ndugu zangu.

code47

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
26
Reaction score
13
Alafu yamaha terminator au wanaiita yamaha cc 600 hivi here engine inaweza vaaa kwenye body ya pikipiki gani hizi kubwa au wapi naweza pata bodi yenye uwezo wa kubeba yamaha 600cc cold kick
 
Alafu yamaha terminator au wanaiita yamaha cc 600 hivi here engine inaweza vaaa kwenye body ya pikipiki gani hizi kubwa au wapi naweza pata bodi yenye uwezo wa kubeba yamaha 600cc cold kick
Chuma inakuwa kama hyo ila sasa mimi nimebaki na engine tu body niliuza alafu niliyemuuzia sijui yupo wapi nayo yani.
 
Tafuta frame ya Honda 450 au Ktm 650.

Hiyo engine ina radiator mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…