Pikipiki mpya ya TVS inahitajika

Pikipiki mpya ya TVS inahitajika

Nibiru

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
596
Reaction score
828
Salaam wakuu,

Pikipiki aina ya TVS mpya inahitajika kwa Dar es Salaam soon as possible.

Msaada wenu please.
 
Mkuu, ongezea taarifa. Wataka mpya ama used? Na budget yako ni shngap?
 
Mpya ya dukani 2.65M. Ukihitaji nicheki muda wowote
 
Back
Top Bottom