Pikipiki mpya za Umeme Verge TS, zina range hadi ya kilometa 600 kwa full charge. Bei yake hadi Tsh. Mil 130 tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Verge Motorcycles, kutoka Finland maarufu kwa kutengeneza pikipiki za umeme zisio za hubs (kwahiyo haina nyororo wala belts, na motor iko connected na tyre ya nyuma direct) wamekuja na pikipiki tatu za Verge TS.

Verge TS: Hii ndio base model, ina 107 hp, 0-100 kwa 4 sec, top speed 180 km/h, range 300 km, battery 20.2 kWh.

Verge TS Pro: Hii ndio maarufu zaidi, power ni 139 hp, 0-100 kwa 3.5 sec, top speed 200 km/h, range 350 km kwa battery 22.2 kWh na 600 km kwa battery la 33.3 kWh. Bei yake $30k na $35k kutegemea battery.

Verge TS Ultra: Hii ina 200 hp, 0-100 kwa 2.5 sec, top speed 200 km/h, range 350 km kwa battery la 22.2 kWh na 600 km kwa 33.3 kWh. Bei ni $45k na $50k kutegemea battery.

Kwa wapenzi wa futuristic design, mzigo huu hapa.
 
Waigawe kwa mbili hiyo bei kwanza. Wanipe nusu niache hii kazi ninayofanya nianze kuishi
 
Kichwa cha habari, ufute neno tu ambalo si pahala pake. Kwani 130M hata Mwalimu anayestaafu haipati kama kiinua mgongo.

Aidha ukiiweka katika UTT, kila mwezi una uhakika wa kukunja 1.3M kama faida! Hivyo ni hela nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…