INAUZWA Pikipiki nzuri, ngumu inauzwa kwa bei nafuu!

INAUZWA Pikipiki nzuri, ngumu inauzwa kwa bei nafuu!

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA...

BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA...

NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA KWANZA WAKATI ZINAINGIA TU...

Documents za msingi na Original zipo kabisa unapewa pikipiki yako unawasha waenda...

BEI NI 1.5M.
Njoo Inbox...
Au Mcheck Mwenye mali kwa namba; 0753800088/0682778287

FB_IMG_1611390097208.jpg
FB_IMG_1611390108728.jpg
FB_IMG_1611390088806.jpg
FB_IMG_1611390103364.jpg
 
Humu ndani kuna baadhi ya members wenzetu wanafanya mchezo na pesa,yaani hiyo kitu ndiyo ya kuuza 1.5 million? Umefanikiwa kuuza ni chini ya million
 
Humu ndani kuna baadhi ya members wenzetu wanafanya mchezo na pesa,yaani hiyo kitu ndiyo ya kuuza 1.5 million? Umefanikiwa kuuza ni chini ya million
Shida nini tupia offer yako inbox tuzungumze biashara...
 
Naona dalali unapigania 50% yako.Serikali inabidi iliangalie ili kundi la madalali maana kuna kodi nyingi sana inakosa haiwezekani dalali aende pasu na mwenye mali au anamzidi kabisa.
Wewe kama unataka mzigo, njoo na offer yako tuzungumze biashara...ikifaa tunafanya biashara achana na dalali...hakuhusu kwenye hela yako...
 
Mkuu no A 1.5m?,,wakati bei hyo ya no c imesimama kabsa au unahisi humu wote mazoba?
 
Back
Top Bottom