mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Kodi usijitishe ni kuulizia tuuu goma nalitoa rahisi sana hiloHizo kitu nazitamani ila tatizo kodi ikivuka maji
Hio ni pikipiki ya ruff road pikipiki ya safari mkoa to mkoa haina side mirror wala speedo merter ukiona unakaribia kufa inapunguza mwenyewe ila sehemu ya kuweka hivyo vitu zipo imekuwa haina kwa matumizi waliokua wakitumia wao.Haina hata side mirror
aje kununua card bongo land mabaja kibao yamekufa garage huku card hata ya elfu 50 unapataSi kuna tra zanzibar,isajiri kwa namba za bara kwanza
Usajili inabidi ufanye kwa namba za Zanzibar sasa kama mtu atataka aharamie hio TRA basi itasafiriSi kuna tra zanzibar,isajiri kwa namba za bara kwanza
Hio price iko vzr mie najua hapo hio kusafirisha baada ya kuwalipa TRA basi haiwezi kuzidi laki 5 sasa ukipata mashine kama hio kwa 3M ni rahisi sanaTuache unafiki hii ngoma imesimama na pia reasonable price