INAUZWA Pikipiki TVS no CQB inauzwa Mwanza Mjini

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
TVS hio.

Cc 150 gia 4.

Imetumika mwaka mmoja.

Full document.

Bei 1.8 mil.

Iko nyakato Mwanza

Piga 0713096076 tuongee biashara achana na comments.

 
Kwa huko Kanda ya Ziwa, naamini utapata tu mteja! Tena hata kwa zaidi ya hiyo bei uliyo anza nayo. Ila kwa huu Mkoa niliko, aisee ungebaki nayo milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…