VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Nauza pikipiki yangu aina ya TVS Star HLX 125 (engine capacity 125), made in India , imetengenezwa 2017. Pikipiki iko kwenye hali nzuri, haijawahi kufunguliwa engine na naitumia kwa matumizi yangu binafisi kama usafili wa kwendea kazini.
Pikipiki imetumika mwaka mmoja, utakabiziwa documents zote zihusuzo hii pikipiki endapo utanunua .
Bei Tsh 1,600,000/=
Pikipiki ipo Geita
Pikipiki imetumika mwaka mmoja, utakabiziwa documents zote zihusuzo hii pikipiki endapo utanunua .
Bei Tsh 1,600,000/=
Pikipiki ipo Geita