INAUZWA Pikipiki TVS Star HLX 125 inauzwa

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
512
Reaction score
398
Nauza pikipiki yangu aina ya TVS Star HLX 125 (engine capacity 125), made in India , imetengenezwa 2017. Pikipiki iko kwenye hali nzuri, haijawahi kufunguliwa engine na naitumia kwa matumizi yangu binafisi kama usafili wa kwendea kazini.

Pikipiki imetumika mwaka mmoja, utakabiziwa documents zote zihusuzo hii pikipiki endapo utanunua .
Bei Tsh 1,600,000/=
Pikipiki ipo Geita



 
kula lak9 chap
 
Naomba mkataba boss nifanye kaz nikutafutie hyo hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…