Kula 4Imeguswa, (kufanyiwa marekebisho). Lakini Iko vizuri sana
Sasa kwanini usirekebishe tu hiyo elfu 60 then ukaitop up kwa hiyo bei, why unataka mnunuzi akutane akutane na hayo marekebisaho madogo?Haina tatizo, zaidi ya marekebisho yasiyozidi 60,000
Ok sawa mkuu, nimekuelewaKwa sasa siko vizuri ndio maana hadi chombo nakiuza. Kuna vitu nahitaji kutatua
40k mfuko wa shatiKaribu sana
Iliguswa wakat inawekwa
[emoji95]Ok sawa mkuu, nimekuelewa
Ahsante mkuu, ngoja nijaribu kushare na watu wengine out of jf naona chombo bado ipo katika hali nzuri tu na price yake ni affordableKaribu sana