INAUZWA Pikipiki Used, Boxer (BM 150cc) inauzwa Tshs 950,000

namba A kula laki tatu mkuu
Wakati mwingine plate namba haiakisi hali ya ubora wa chombo bali matunzo. Hii pikipiki sikua na wazo la kuuza. Ni vile tu kuna mambo kadhaa yamenibana. Sipati faida kwa kuuza 950,000 Maana nimeifanyia maintanance vizuri. Vitu vingi ni vipya mfano Seat, Mashavu, piston, break ya mbele, mkono wa kushoto. Kiufupi ninaitunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…