S sangmelina Member Joined Jan 23, 2022 Posts 11 Reaction score 15 Nov 13, 2022 #1 Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Nov 15, 2022 #2 Watakuja tuwasubiri