kimpango JF-Expert Member Joined Apr 24, 2011 Posts 600 Reaction score 717 Jan 27, 2012 #1 jamani nimekopa kiasi cha pesa nimeona nifanye biashara ya usafirishaji mdodo mdogo wa mizigo hapa Iringa kwa kutumia pikipiki ya miguu mitatu .... sasa nitapata wapi pikipik hiyo na bei zake ?
jamani nimekopa kiasi cha pesa nimeona nifanye biashara ya usafirishaji mdodo mdogo wa mizigo hapa Iringa kwa kutumia pikipiki ya miguu mitatu .... sasa nitapata wapi pikipik hiyo na bei zake ?