Adjust accelerator cable imejikaza hivo inakua ni kama unawasha huku umevuta wese.
jaribu kuilegeza kabisa halafu uone kama itakua inaendelea "kujilesi"
Lakini pia usikate tamaa kujifunza kufix matatizo mwenyewe maana hujui lini na wapi kitakukuta tatizo kubwa na kikakucost kumbe hata ww mwenyewe ungeweza.
Kila la kheri!