GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Zinaitwa HANG GLIDERS.
Miaka ya nyuma nilikuwa nikiziona zikikatiza anga la Arusha. Inasemekana zilikuwa za Mzungu, nafikiri, wa Gomba Estate.
Tokea nihamie mikoani, sijafanikiwa kuziona tena.
1. Bado zipo Tanzania?
2. Utaratibu ukoje kwa mtu anayetaka kuwa nayo?
3. Gharama ya kununulia na uendeshaji ikoje?