kizito wa putin
Member
- May 31, 2022
- 28
- 19
Nataka kuagiza hzi pikipiki za umeme zinazotamba kwa sasa, kibongo bongo naskia zinatembea kwny 1.5m ila nimejaribu kuangalia huko China zinapotokea naona zinarange kwenye 260$ kupanda juu hadi 1000$ ambapo mimi nataka kucuhkua tu hapo 260$-350$ sasa wasiwasi wangu ni kuhusu hizo kampuni zenyewe sina uhakika nazo na sijui taratibu zozote kuhusu kuagiza vitu nje yaani nina ABC kidogo sana kiasi kwamba nahisi kutupa kisalio changu bure, by the way nataka kinisaidie kwenye baadhi ya shughuli zangu hapa mji wa Daudi, naomba anayejua chochote anisaidie kuhusu haya mambo ya usafirishaji.
Hii ni hiyo kampuni ya China huko inayohusika
Hii ni hiyo kampuni ya China huko inayohusika