Pikipiki za umeme

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Habari.

Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme].

Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged?

Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa.

Uimara wake vip?

Nitashukuru sana
 
Bei zake zinategemea na charging capacity),na speed km /hour jana kuna mwamba nkmeulizia kariakoo bei inaamzia 1M hadi ,1.4M, inategemea but hata mm nawaza sana kunjnua kwa ajili ya back up ya mara moja moja
 
Habari.

Naomba elimu kuhusu pikipiki za kuchaji [ za umeme].

Je, inatumia unit ngapi mpaka kuwa full charged?

Bei zake ni kiasi gani ikiwa mpya? Na zinapatikana wapi hasa kwa Kanda ya ziwa.

Uimara wake vip?

Nitashukuru sana
Mrejesho tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…