Pikpiki yangu aina ya bm boxer inakosa nguvu mlimani

Pikpiki yangu aina ya bm boxer inakosa nguvu mlimani

wambeya

Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
38
Reaction score
13
Nimennua kwa mtu karibuni iko na muonekano mzuri,juz nikaijaribu kwenye milima ya kawaida tu ina feli aisee ad natumia moja pia ina kelel kama tapert zinagonga bado sijamuona fundi naomba mawazo 0764932021
 
Cheki oil, angalia hizo tapet unazohisi zinagonga. Ila kukosa nguvu inaweza pia kusababishwa na clutch plate kuisha, kama inatoa moshi unaoonekana? Mweupe au bluu? angalia pia rings. Ukifika kwa fundi atakupa ushauri zaidi?
 
Back
Top Bottom