KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Nini kilichokuchekesha ss?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HAPANA NI TAFSIRI YA KISWAHILIUmeshasema wali mchafu mbona tafsiri yake rahisi
Nilikuwa sijacheka leo. Jf kiboko😀😀😀😀Hili swali ukimuuliza sizonje atazimia hapo hapo
Shukran mkuuHuko juu kote umedanganywa isipokuwa mchangiaji mmoja tu.Pilaf rice ni wali aina nyingine na ni tofauti na pilau.Pilaf ni wali una kitunguu cha kawaida,safron ,cayene pepper na stock.Kwa ufupi ni wali unaopikwa na seasoned stock.Stock ni mchemsho wa mifupa ya kuku,au mifupa ya nyama ya ng'ombe,Mifupa ya kondoo,(wanyama wote isipokuwa nguruwe)Samaki,vitunguu,vitunguu swaumu,carrot,leeks na cellery,inachemshwa taratibuu kwa mda mrefu alafu unachuja yale maji unatumia kupikia huo wali wako.Pilau kwa kiingereza unaweza kuiita spiced rice lakini kwa nini uhangaike,jina la kitu linatakiwa libaki hivyohivyo tu mkuu.Mwambie utampikia our special Tanzanian Xmass/festive rice called pilau.Lakini hata hivyo wazungu wengi wanaijua pilau.
Dirty riceNini kilichokuchekesha ss?
Hili swali ukimuuliza sizonje atazimia hapo hapo
uzi uzaa uzi.si mda kuna mtu kasema pilau chakula cha anasa. na wewe unataka kwa kingerezaHeshima kwenu wakuu, kama mjuavyo leo ni siku maalumu, na katika hizi siku maalumu huwa 90% tunatumia wali ule mchafu almaarufu(pilau) sasa nataka nimualike rafiki yangu mzungu ila sijui pilau kwa kiingereza inaitwaje.
Mwenye kufahamu naomba anijuze tafadhari.
Ulikoti "pilaf"Dirty rice