pili pili na mahindi choma

Joined
Sep 11, 2016
Posts
5
Reaction score
0
  1. mahind ya kuchoma na pilipil,,,jaman wanaume wa dar kwa hiki chakula mmmmmh kwer hampendi ujinga
 
Wanaweka pilipili yenye chumvi kwa kuwa mahindi yakifika Dar mara nyingi yanakosa utamu..
 
Tofauti kati ya wanaume na wanawake wa dar ni pale kati tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…