Tunauza pilipili hoho kwa jumla na rejareja.
Shamba lipo Mkuranga, tuna uhakika wa kuvuna magunia 20 yenye kilo 100 kila wiki.
Unaweza kuletewa mahali ulipo au ukanunulia shambani. Pia kama una ofisi rasmi sio lazima kulipa cash unaweza kuchukua halafu pesa ukatoa baadae baada ya kùuza kwa makubaliano maalum
Kama unahitaji au ndugu,rafiki tupigie kwenye 0719222043, 0654790487 kwa maelezo zaidi.