Pilipili ili isiwahi kuaribika

Pilipili ili isiwahi kuaribika

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,836
Reaction score
2,536
Wakuu habari. Nimejikuta nimebaki mwenyewe home baada ya shule kufungwa na nina nyanya nyingi kwa fridge.
Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza pilipili ambayo itakaa kwa muda mrefu kwa fridge bila kuchacha. Niweke vitu gani.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kutengeneza achali ya nyanya mkuu?
 
Ukitaka isiharibike weka Citric acid. Jinsi ya kupika pilipili tafuta humu JF maana kuna aina nyingi za kutengeneza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom