Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,836 Reaction score 2,536 Apr 15, 2019 #1 Wakuu habari. Nimejikuta nimebaki mwenyewe home baada ya shule kufungwa na nina nyanya nyingi kwa fridge. Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza pilipili ambayo itakaa kwa muda mrefu kwa fridge bila kuchacha. Niweke vitu gani. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari. Nimejikuta nimebaki mwenyewe home baada ya shule kufungwa na nina nyanya nyingi kwa fridge. Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza pilipili ambayo itakaa kwa muda mrefu kwa fridge bila kuchacha. Niweke vitu gani. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,194 Apr 15, 2019 #2 Unataka kutengeneza achali ya nyanya mkuu?
Active Content Quality Controller JF Staff Joined Jan 30, 2008 Posts 786 Reaction score 1,555 Apr 15, 2019 #3 Ukitaka isiharibike weka Citric acid. Jinsi ya kupika pilipili tafuta humu JF maana kuna aina nyingi za kutengeneza. Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka isiharibike weka Citric acid. Jinsi ya kupika pilipili tafuta humu JF maana kuna aina nyingi za kutengeneza. Sent using Jamii Forums mobile app